SAMGEM SOLUTION

Tunabadilisha Biashara Yako Kuwa ya Kidijitali.
Mfumo wa Boti unaofanya kazi 24/7 bila kupumzika.

Anza Chat Nasi

WhatsApp Bot

Roboti janja inayojibu wateja wako papo hapo, inatuma picha za bidhaa, na kutoa maelekezo hata ukiwa umelala.

Oda & Malipo

Mfumo unamsaidia mteja kuchagua bidhaa, kujumlisha bei, na kumpa namba ya malipo bila usumbufu.

Automation

Okoa muda wako. Acha mfumo ufanye kazi za kujibu meseji za kila siku ili wewe uweze kufanya mambo mengine makubwa.

Unahitaji Huduma Hii?

Usipoteze wateja kisa uko "Offline". Wasiliana nasi leo.

0757 989 898
Piga Simu Chat WhatsApp